Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400015600523_83170.jpg
 
Nini maana ya falsafa? Falsafa hutokana na maneno mawili ya kiyunani (kigiriki), yaani philo lenye maana ya Upendo na Sophia linalomaanisha hekima. Kwa hiyo falsafa au philosophia ni taaluma ambayo inajishughulisha katika kutafuta ukweli wa jambo kwa njia ya kutafakari.
 
Hizi ndizo falsafa tatu katika maisha ya binadamu 1) Falsafa ya kwanza ulikuwaje Ukianza kutafakari katika maisha yako ya nyuma na ulivyo sasa ni tofauti yaani ulivyokuwa mtoto na binadamu wote tulizaliwa sawa tukiwa wadogo kabisa na huku tukiwa hatuna kitu chochote katika ubongo wetu yaani maarifa wote tulikuwa sawa na mabadiliko mengi yanatokea au yanaanza kupitia hatua ya pili ya falsafa ya maisha.
 
Katika falsafa hii ya ulikuwaje ni falsafa ambayo kila mtu anapitia katika maisha ya binadamu hapa wote tunakuwa sawa ,lakini pale tu unapoanza kukua kila mmoja katika juhudi zake mwenyewe anaanza kujifunza mambo mbalimbali katika dunia. Falsafa hii tunaweza kusema ni kipindi cha utoto au udogo unakuwa bado hujajua nini maana ya maisha mpaka unapofikia kipindi cha kujitegemea.
 
2) Falsafa ya pili ukoje Hii ndiyo falsafa ambayo inaitwa ukoje yaani jinsi ulivyo sasa una rasilimali nguvu ,rasilimali muda nk. Hiki ni kipindi ambacho binadamu ndio anaanza kutengeneza maisha yake ukifanya uzembe katika kipindi hiki cha ujana wako huwezi kufanikiwa kipindi cha uzee wako. Maisha ni marefu kama ukitumia muda wako vizuri, je unatumia muda wako vizuri? Katika falsafa hii ya ukoje ndio kipindi cha kuamua unataka kuwa nani katika maisha yako ,uhuru wa maisha yako unakuwa mikononi mwako uamuzi unao mwenyewe kuboresha maisha yako ili uwe na maisha bora ya sasa na ya baadae kipindi cha uzeeni.
 
[emoji267][emoji268][emoji271][emoji269]CARBAMAZEPINE [emoji269][emoji271][emoji268][emoji267]

Binti yangu mpole,faraja yangu,kivuruge wangu, ukaribu wako kwangu kwa kila anguko linitokeapo unanifanya niwe imara zaidi.
Ukinipigia simu nikikuitikia "mamaangu..." kama kuna tatizo unagundua mara moja cha upole wangu... "baba ni nini tena?... "

Sikupati hewani lakini naamini hapa utaonekana maana ndio makazi yetu ya furaha na amani tujumuikapo wana familia.
Ahsanteni wana uzi huu kwa kumfanya binti yangu angalau aweze hata kuongea na watu, upole wake ulikuwa unatia hofu...

Binti yangu carbamazepine nakuombea maisha marefu yenye furaha na amani tele sawa sawa na mapenzi ya Mungu,kila jirani lako likapate kutimia kwa wakati[emoji120][emoji120]

Happy birthday kivuruge

Umesha kuwa mkubwa sasa...
#siolazimauolewenatakawajukuu
View attachment 1431229

Sent using Jamii Forums mobile app
Happy birthday lovely friend carbamazepine
I love you[emoji3590]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanafanya utani na muda katika maisha yao wengi wanafikiri muda upo na watakuwa na muda mwingine zaidi ya huu, Wengine wanasema bado wapo wapo muda upo kwa sasa wanakula ujana, kuja kushtuka huna tena rasilimali nguvu kama ulivyokuwa nayo kipindi cha ujana.
 
Back
Top Bottom