Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni hatari sana kwa mtu ambaye anafanya kazi bila kuweka akiba katika maisha yake, kutegemea chanzo kimoja cha mshahara ,bila kufanya uwekezaji, kuishi juu ya kipato chake, kuishi maisha ya starehe na anasa za dunia ni hatari pia mtu kuishi bila kujali afya yake. Afya ndio nguzo kuu ya wewe kutimiza malengo yako ,kula vyakula ambavyo vina hatarisha maisha yako kula vyakula ambavyo vinakupa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa.
 
Kwa hiyo katika kipindi cha sasa yaani falsafa ya ukoje ni kipindi ambacho unatakiwa kuwa makini nacho hapa ndio kitovu cha mafanikio yako ya leo na kesho usipoteze muda pambana kila siku usiridhike na mafanikio uliyo nayo kwa sasa ukitaka kufanikwa kuwa kama tumbo.
 
3) Falsafa ya utakuwaje Hii ni falsafa ya mwisho katika maisha yako ambayo ni matokeo ya falsafa ya pili. Kama uliweza kutumia muda vema katika ujana wako hapa ndio kipindi cha kuvuna utakuwa unakula matunda yako mwenyewe ambayo ulijiwekezea kipindi una nguvu za kutosha ,kila mtu anaishi katika maisha aliyojitengenezea mwenyewe na kila mtu anaishi katika dunia aliyojitengenezea
 
Hiki ni kipindi ambacho umeshazeeka huna tena nguvu za kuzalisha nguvu ya kufanya kazi kama awali kama ulikula ujana vibaya hapa pia utakula uzee vibaya maisha yatakuwa magumu sana uzeeni kama ulishindwa kuyaandaa kipindi cha ujana. Maisha ni muda. Mafanikio yanatabirika kama vile jua linavyochomoza mashariki na kuzama magharibi.
 
Bado dakika nane tule futari
Dakika nane sisi tayari
IMG_20200425_192851.jpg
 
Back
Top Bottom