myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Shwari,mzima?
Jukwaa la siasa wanasemaje?Eti wajomba mnasemaje kuhusu jiwe kuomba WB kusamehe madeni kipindi hiki cha korona nchi zilizoasirika janga hili. Mada ni kwamba basi na sisi wandani tusamehewe kulipa kodi kipindi hiki cha korona au atupunguzie na sisi, kama mwaka mfano unalipa kwa awamu mbili au tatu, basi a minimize kidogo jaman, . Jaman ni ombi kama alivyoomba na yeye,
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh si mchezoJukwaa la siasa wanasemaje?
jiwe apewe tarifa kuwa tuna ombi kama lake, ukipenda kusamehewa na wew samehe hata kidogo uoneJukwaa la siasa wanasemaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwan mm sijauona Kama upo pichani, namaanisha unapatikana wapi ili nikatalii kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti Utopolo. Hakuna muomba msamaha hapo [emoji16][emoji16][emoji16]"Niliyemkosea anisamehe, kuhusu watani zangu utopolo kwa sasa wapumzike, nikimaliza ibada ya funga nitaendelea na nyinyi"--Msemaji Hajji ManaraView attachment 1431181
Amani itawale siku yetu