Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


[emoji4][emoji4][emoji4]
Nimejikuta naandika na kufuta mara nyingi.
I didn't see this coming cole,thanks for the loving wishes.

Umekuwa ukinifanya nicheke na kutabasamu mara nyingi.
Sijawahi kuboreka kuzungumza na wewe na mwenyewe unajua.

Ukijana mcheshi na mpole na nafurahi kukufahamu.

Nashukuru kwa upendo ninaoupata toka kwako[emoji7][emoji7][emoji7].
[emoji9][emoji9]

Siwezi kuandika magazeti mimi jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baba[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…