moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mimi bado picha. Hazionekani. Notifications zinakuja zinakata...
Mkuu una maponzi ya maandishi hata mimi Mwanamke siwezi hivi.
Inasikitisha mno ila pengine ni changamsha jukwaa Jf ni kichaka
Dogo mimi ni mzima kabisa long time sijawepo hapa. Najua kuna wageni wengi sana ambao hawajuii tupo wazee wa zamani.
Jamani Carba, KK, Numbisa, shemwji zangu wasukuma wote.
Leo nimewakumbuka sana humu ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasalimu humu ndani.....
Wageni wapo, nadhami umeshamaliza masomo, sasa unaweza kuungana nasi maana ushakuwa mtu mzima.
Karibu tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapanda migomba sasaWakulima wote poleni
Mwenyezi Mungu awaponye wagonjwa wote...
Mungu atupe afya na uzima...