Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,219
- 27,059
Siye hatukutambui na vitoto vyako. Mahari utatoa tu hata iweje. Wapare wabahili mpaka kwenye mahari. Hovyo kabisa !!!Hahahaahaha.
Shule vado nimekuja kuongeza uzao maana Shimba ya Buyenze anataka mjomba mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mnyama na Range nani mkali?Land Rover Defender 2020. Ile gari ya ndoto yako mzee simiss View attachment 1432592
Mkuu Range ni habari nyingine. Ila huwa napenda sana Defender kwa kuwa linahili mikiki mikiki ya hasle za kiafrika.Huyu mnyama na Range nani mkali?
Kaka mkubwa mbona umecheka sana, kwani uwongo πππ[emoji23][emoji23]
View attachment 1432416Ramadhan ya ibada zaidi, toba, baraka, Amani, upendo, kusamehe, sadaka, kusamehewa.
Hebu tuache bro,Siye hatukutambui na vitoto vyako. Mahari utatoa tu hata iweje. Wapare wabahili mpaka kwenye mahari. Hovyo kabisa !!!