moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
*Nimegundua barakoa nyingi hazina viwango, Leo kwenye daladala abiria wanalalamika kuna mtu amejamba. Sasa kama ushuzi[emoji848] umepenya corona itashindwa kweli?*[emoji848][emoji848][emoji848]
Siye hatukutambui na vitoto vyako. Mahari utatoa tu hata iweje. Wapare wabahili mpaka kwenye mahari. Hovyo kabisa !!!
Kaka mkubwa mbona umecheka sana, kwani uwongo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee kuna watu wanapitia magumu ya kimaisha kiasi kwamba hata mke nyumbani anamuona ni kero. Naamini mapenzi ni utulivu na pia uwe na good mood. Ukiwa stressed 😂😂😂 hata my wife wako utamuona kero.
Mimi mzima namshukuru Mungu.Saint Anne mzima dada yangu?
Bila shaka ni mjadala wa Mama rwakataleDuh kuna sehem kuna mjadala mzito mpaka nikaenda google ya papa olangi
Nduo huo huo
Kimya kimya tu tunashuhudia minyukano ya watu mule
[emoji23][emoji23][emoji23] usinikumbushe mimi..... najihisi nimekwamaThe Happiness umefikia wapi kwenye checkers?
Salama kabisa hofu kwako, umepotelea wapi?
Nashukuru Kama u mzima..Salama kabisa hofu kwako, umepotelea wapi?