Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
kwema kabisa sijui huko.Ndio kaka.,.Mambo zako?My Jr hajambo?
OkeyHalafu nina muda mrefu sijalimwa iginoa listi. Nilikuwa nimezoea enzi zile nikimchokoza malkia ISIS na kidokezo cha the one and only one mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai nachezea iginoa listi kwa mwezi hata mara mbili. Na kwa mwanaharakati BAK nako nilikuwa sikawii. Miss those good ole days [emoji16][emoji16]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Subiri kwanza nilipandishe hili joka linalomeza kitoto cha mbuzi nikutag ndiyo unitupe huko gizani iginoa listi kusikofikiwa na jua [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haishangazi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Sana tu nenda sehemu copy chochote hata kumi ukija hapa unapaste tu kwa kuangalia haka kaobksi kenye mkasiπππkwelii, nimeshusha Uc ya orange, kumbe tamu hivi
Kweli kabisaHiyo dawa ingekuwa imetengenezwa na mzungu hata kama ni tapeli sasa hivi tungekuwa tunainywa.
Daah huyu kijana wanavyomuongelea sijui ni kweli ama wanamsingizia tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ingekua poa sanaThenki Godi binadamu hamuwezi kufanya hivi vinginevyo tungeisoma namba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£Wanyakyusa bana. Sijui wanakwama wapi japo wamesoma sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli kabisa unaweza kujiona umeyapatia maisha
Bro hii kitu una ramani yake?
Itakuwa photoshop hawezi mwambia dad yake hivyo. Kama hii ππ½ππ½ππ½Daah huyu kijana wanavyomuongelea sijui ni kweli ama wanamsingizia tu
Wanasema ana matatizo ya kuzaliwa sio kuhusu hilo bangoItakuwa photoshop hawezi mwambia dad yake hivyo. Kama hii ππ½ππ½ππ½View attachment 1433637View attachment 1433638View attachment 1433638
Noma sanaWanasema ana matatizo ya kuzaliwa sio kuhusu hilo bango