Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2355576_FB_IMG_1585725571810.jpeg.jpg
 
Nakutupia ignoa listi kwani shngapi
Halafu nina muda mrefu sijalimwa iginoa listi. Nilikuwa nimezoea enzi zile nikimchokoza malkia ISIS na kidokezo cha the one and only one mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai nachezea iginoa listi kwa mwezi hata mara mbili. Na kwa mwanaharakati BAK nako nilikuwa sikawii. Miss those good ole days [emoji16][emoji16]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Subiri kwanza nilipandishe hili joka linalomeza kitoto cha mbuzi nikutag ndiyo unitupe huko gizani iginoa listi kusikofikiwa na jua [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Inakadiriwa kufikia mwaka 2030 zaidi ya ajira milioni 20 zitachukuliwa na roboti/mashine, Mwanzilishi wa Alibaba na bilionea Jack Ma yeye anaamini maendeleo ya roboti/mashine yatatengeneza ajira kwa kile anachoamini kuwa binadamu ana akili zaidi kuliko kitu chochote kile duniani.
Na Korona hii ndiyo imepigilia msumari kabisa. Wanasema maroboti yangekuwa ndiyo yanafanya kazi madukani huko na kwingineko wala kusingekuwa na mtafaruku hivi na sasa watu wa Artificial Intelligence (AI) wanasema kwamba haitachukua zaidi ya miaka mitano kabla maroboti hayajaanza kuendesha masupamaketi huko na kwingineko.
 
"Komodo jike" ana uwezo wa kujitungisha mimba mwenyewe bila kuhitaji dume kupitia kitendo kinachoitwa Parthenogenesis. Akifanya hivyo mara nyingi huzaa dume, inaelezwa hufanya hivyo ili kuongeza kizazi zadi hasa pale anapokosa dume kwa muda mrefu.
Thenki Godi binadamu hamuwezi kufanya hivi vinginevyo tungeisoma namba
 
Back
Top Bottom