Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mimi nina fomyula yangu bullet proof. Hata akinisaliti anakuwa anajisaliti mwenyewe. Kamwe sitakaa niumie eti nimesalitiwa/nimechapiwa wakati msaliti/mchapwaji naye ni binadamu kamili na akili zake kabisa...Hasira za aina hii hapana.
Katika umri wangu huu nimesalitiwa sana, ningeshajiua tangu zama hizo.
Usiruhusu binadamu mwenzako akuweke roho juu wakati Dunia imejaa watu kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo mana nikasema hili ni chambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwanaume ana chamba huyu jamani.
๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko na king ni mfano mzuri ujueee[emoji125][emoji125]
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]Hisia juu yako kwa mwanamke ndio muhimu katika kuweza kumfikisha kileleni.
Wasukuma na wanawake weupe sasaNdoa za kisukuma zinaruhusu ndoa za mitaala(mke zaidi ya mmoja).Kwa kawaida wasukuma huoa kwa mahali ya ng'ombe kati ya 7 mpaka 20. Hii ni kawaida lakini mahari inaweza kuwa ng'ombe 25 mpaka 70 pale atakapokuwa anaozeshwa Binti mweupe.
Nani alikuteka ety?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mpendwa bhana..
Nakusalimia pia ......
Mambo yalikuwa mengi.
Kwamba[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko na king ni mfano mzuri ujueee[emoji125][emoji125]
Hawajui kuna zenye zinavutiaga watazamaji wa action movies tofauti na zile za wrestlingMuvi nyingi za WWE hua hazifanyi vizuri, Muvi zao nilizopenda ni Behind Enemy Lines na Marine pekee
Akijibu nistueNani alikuteka ety?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saikolojia: Kulala mtupu husaidia kuongeza uwezo binafsi wa kujiamini.
Sawa mpendwaAkijibu nistue
๐๐๐๐Naunga mkono hojaSaikolojia: Kulala mtupu husaidia kuongeza uwezo binafsi wa kujiamini.
First born wetu (RIP) alikuwa nao watano; na shemeji zangu wale walikuwa wanapendana sana....Dini nazo zimekuja zikachimba mikwara lakini mitara haina shida kabisa (cc Dr. Mwaka)Wasukuma na wanawake weupe sasa
Nataka kupewa skendo hapa ๐Nani alikuteka ety?
Mimi nina fomyula yangu bullet proof. Hata akinisaliti anakuwa anajisaliti mwenyewe. Kamwe sitakaa niumie eti nimesalitiwa/nimechapiwa wakati msaliti/mchapwaji naye ni binadamu kamili na akili zake kabisa...
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaNiSiriYaNdani