Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20200428-185506_Facebook.jpeg
 
Tanzania: Vifo vinavyotokea kwa vijana kati ya umri wa miaka 19-29 "kujiua" inachukua nafasi ya pili huku ya kwanza ikiwa ni ajali. Vijana wa "kiume" ndio wanaongoza kwa kujiua zaidi kuliko wa kike.
 
Ndoa za kisukuma zinaruhusu ndoa za mitaala(mke zaidi ya mmoja).Kwa kawaida wasukuma huoa kwa mahali ya ng'ombe kati ya 7 mpaka 20. Hii ni kawaida lakini mahari inaweza kuwa ng'ombe 25 mpaka 70 pale atakapokuwa anaozeshwa Binti mweupe.
 
Kampuni kubwa zaidi za kiteknolojia kwa umiano wa umiliki wa rasilimali na hisa

1. Apple

2. Samsung

3. Microsoft

4. Alphabet

5. Intel

6. IBM

7. Facebook

8. Cisco Systems

9. Tencent Holdings

10. Oracle

Chanzo: Forbes
 
Nchi tajiri zaidi duniani kwa wastani wa mjumuisho wa pato la ndani la taifa.

1. Qatar

2. Macao SAR, China

3. Singapore

4. Brunei

5. Kuwait

6. Bermuda

7. UAE

8. Norway

9. Luxembourg

10. Hong Konk

Chanzo: USA TODAY
 
Unaweza kubashiri idadi ya wanawake ambayo mwanaume tayari ametoka nao kimapenzi kwa kuangalia namna alivyo mcheshi. Mwanaume mcheshi/anaependa kuchekesha kuna uwezekano mkubwa ametoka kimapenzi na wanawake wengi na zaidi hutajwa kuwa na uwezo mzuri wa kumfikisha mwanamke kileleni.

Chanzo: Psychology Today
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaweza kubashiri idadi ya wanawake ambayo mwanaume tayari ametoka nao kimapenzi kwa kuangalia namna alivyo mcheshi. Mwanaume mcheshi/anaependa kuchekesha kuna uwezekano mkubwa ametoka kimapenzi na wanawake wengi na zaidi hutajwa kuwa na uwezo mzuri wa kumfikisha mwanamke kileleni.

Chanzo: Psychology Today
😁😁😁😁Numbisa hii kamba
 
Back
Top Bottom