Vinginevyo tuendelee kuchukua tahadhali dhidi ya maradhi corona.
Tujiepushe na mikusanyiko isiyo ya lazima.
Tujiepushe na safari zisizo za lazima,
Ukitoka kwako vaa barakoa.
Ukifika mahali husika nawa maji tiririka kisha jioshe kwa Sanitizer.
Usiguse guse vitu ovyo.
Kula chakula kisafi,
Kula matunda,
Kama unavuta bange au sigara jiepushe navyo,
Dalili zote za maradhi zishughulikie mapema.
Fanya mazoezi.