COVID 19 Update,
Taarifa ya Waziri Mkuu wa Tanzania
Mh Kassim Majaliwa.
Tanzania imepata maambukizi mapya 196 kati ya hao Tanzania bara wagonjwa 174.
Tanzania Zanzibar wagonjwa 22.
Jumla ya wagonjwa ni 480
Waliofariki 16.
Waliopona 167
Wagonjwa wanaendelea na tiba 293
Chanzo ITV Tanzania
Mkurugenzi wa michezo wa Borussia Dortmund anasema "amenyamaza " kuhusu hatma ya baadae ya Jadon Sancho. Winga huyo wa England, 20, amehusishwa na tetesi za kuhamia Manchester United. (Sport1 - in German)
Mtaliano huyo huenda akachukuliwa hatua za kinidhamu na Everton kwa kukiuka muongozo wa serikali wa kukabiliana na coronavirus mapema wiki hii. (Corriere dello Sport - in Italian)
Wachezaji nyota wa Barcelona Philippe Coutinho, 27, na Ousmane Dembele, 22, wako tayari kujumuishwa kwa mkataba wa kubadilishana wachezaji msimu huu. (Telegraph - subscription required)
Liverpool wanapigiwa upatu kumsajili mshambuliaji wa Lille Victor Osimhen, 21, ijapo kuwa Leicester na Chelsea pia wanamng'ang'ania raia huyo wa Nigeria . (Le Foot Mercato - in French)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.