moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huenda imeshafika nchini inapitishwa kwenye mamlaka husika.
Navyojua dawa na vyakula vinavyoingizwa Tanzania kabla havijafika kwa maji ni lazima vipite mamlaka ya chakula na dawa, TBS na maabara za Mkemia mkuu wa Serikali.

Kwa nini hii dawa isiletwe huku jamanii