Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Hizi ndio hulka halisi ya sisi watz [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndio hulka halisi ya sisi watz [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh!
Duh serikali imekamata kila kitu hadi mazishi
Jifukize mkuu kutwa mara 3
Hapana mkuu ni mara tatu kwa wiki
Hamna hizo mambo ni self isolation na measures mbalimbali ikiwemo kupimwa kabla hujaingia kupata huduma mahali popote penye huduma za kijamii.Huko umeshajifukiza bro
Penda changamoto. Tangu KD aniite ka nzi siku hizi nafanya bidii kuzalisha asali niwe nyuki[emoji23][emoji23]Umeona eeh, yani ukiingia kule umakini uwe juu, na mimi siwezi 😂
😂 😂 😂