Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wataalamu wa masua ya afya wanasisitiza ni wajibu kwa kila mmoja kunawa mikono yake kwa maji safi na salama kabla na baada ili kuuwa vijidudu hivyo na pia kila utakapo chooni hakikisha unanawa na kujifuta vizuri mikono yako na kitambaa chako maalumu, ambacho kitakuwa kinafuliwa kwa usafu mara kwa mara.
👍 👍
 
Ankoo sijui ni jana au juzi umenitwisha zigo la tafiti yako... Umenionea sana, King sawa, yawezekana, ni kijana yule. Mimi hiyo shughuli niiwezee wapi?!!
Unataka nikufwe mapema Anko, haunipendi[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko wewe mtaalamu yaan haujui tu king anapata tuishen kwako
 
Back
Top Bottom