moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Oyeeee[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]watu wa Ruvuma oyee
[emoji23][emoji23][emoji23]watu wa Ruvuma oyee
Funga sio adhabu hivyo twahitaji pongezi tu na sio pole. Ahsante tumepokeaPoleni na hongera mliofunga
Wako vizuri. Mbali na faida za kiroho wanaimarisha pia immune system zao. Hongera zao kwa kweli.Poleni na hongera mliofunga
Na atalipa tu. Mpare mai futi [emoji36][emoji36][emoji36]Usingehulumu mahari basi yaan kila siku unadaiwa jamani
Jioni yako iko aje
Mkuu Haifungiki nashukuru iko poa, vp kwa upande wako?Jioni yako iko aje
AminaMungu atupe afya na uzima
Upande wangu watu ni wazimaMkuu Haifungiki nashukuru iko poa, vp kwa upande wako?
Inapendeza hasa kipindi hiki cha maradhi yanayoshika kasi ya shida ya upumuaji ni muhimu kushukuru kwa uzima.Upande wangu watu ni wazima
Giza imeingiaKumekucha ndugu zangu
Mkuu inawezekana yupo upande mwingine wa dunia ambapo saa hizi ndio kunakuchwaGiza imeingia