Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huondoa sumu mwilini

Unywaji wa maji mengi husaidia kuondoa sumu mwilini kwani huwezesha viungo kama vile figo kufanya kazi yake vyema. Unapokunywa maji kabla ya kula chochote asubuhi utauwezesha mwili wako pia kujenga misuli na kuzalisha seli mpya za damu.
 
Bora huko kwenu mask ni za vitenge,huku kwetu ni mifuko jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Makada nao hawapitwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
95511396_235911904392084_3387508296948202309_n.jpg
 
COVID 19.
Takwimu za mpaka leo asubuhi.
1.DR Congo 471 vifo 30
2.Kenya 374 vifo 14
3.Tanzania 299 vifo 10
4.Rwanda 212
5.Zambia 95 vifo 3
6.Uganda 79
7.Msumbiji 76
8.Malawi 36 vifo 3
9.Burundi 11 kifo 1
Ripoti hii kwa mujibu wa utafiti wa chuo kikuu cha John Hopkins.




Kutokana ya taarifa ya Waziri Mkuu mh Kassim Majaliwa aliyoitoa mchana wa leo jumatano April 29 2020, Tanzania imepata jumla ya maambukizi 480, kwahiyo Tanzania inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa kwenye nchi za maziwa Makuu ikifuatiwa na DR Congo.
Ugonjwa huu waafrica walidhani ni kitu rahisi na itatuacha pahali pabaya sana.
 
Bro inabidi uende kiafrika zaidi, tafuta huko kifumbasi, majani ya mjohoro, majani ya mu40 na tangawizi, changanya jifukize
Achana na hao watu we jifanyie yako
Hamna hizo mambo ni self isolation na measures mbalimbali ikiwemo kupimwa kabla hujaingia kupata huduma mahali popote penye huduma za kijamii.
 
Huboresha metaboli

Metaboli ni mchakato ambao mwilli hutumia vyakula (wanga, protini na mafuta) ili kupata nguvu na kujijenga. Hivyo basi, unywaji wa maji huwezesha mchakato huu kwenda vyema na kuufanya mwili kuwa na afya njema.
 
Husaidia kupunguza uzito

Wapo watu wanaopenda kupunguza uzito wa miili yao kwani uzito mkubwa si jambo zuri kiafya. Yakupasa kukumbuka kuwa unapoamka na kuanza kutumia vinywaji kama vile soda na juisi (sharubati) vitachangia sana kuongeza uzito wako wa mwili.
 
Back
Top Bottom