Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1588177066159.jpeg
 
Nilipata ujumbe wako. Ila siunajua kutoa namba nimpaka mtu mwenyewe aseme. Sasa nilipoambiwa nikasema nitakutafuta. Samahani mambo yalipandiana nikasahau kabisa.
Hapo shida sio timu, ni hilo "wasukuma"

Habari za majukumu ndugu yangu? Niliacha maagizo kwa shemeji, imekuwa kimya hadi nimepata suluhisho kwingine

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee mahari walikuja kuchukua zizi zima. Shemeji SYB najua atakuwa ameishiwa tu ndio maana ana dai mara mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli nimeishiwa ila mahari hukumaliza ulitupiga chenga ukaanza kusema eti tuchukue bata na kuku badala ya ng'ombe. Umesahau?

Malizia mahari shemeji mambo yaishe familia yako itulie na kuwa na amani....
 
Back
Top Bottom