Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ninakuhimiza kujenga utamaduni wa kujali na kulinda afya yako ili uweze kuwa mtu mwenye mafanikio zaidi.
Kama kuna mtu anajua utaratibu wa kubadili kabila aje PM faster. This is too much. Kuna siku kabisa huwa naweka azimio kuwa leo sikomenti cho chote lakini nikiona Wasukuma wanashambuliwa roho inaniuma najikuta nishaingia kilingeni. Naomba nihamie hata kwa @Wanyakyusa, Wandali, Wazaramo, Wakinga hata kwa Nshomile. Niko siriazi [emoji16]
View attachment 1434716
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Thanks but no thanks. Acha tu nipambane na Usukuma wangu. Kula ugali na picha ya samaki pamoja na kudhulumu mahari za watu sitaweza kwa kweli.
Bila shaka na wewe umrembo kama huyo?Yeah ni mrembo sana
Karibu Sana undalini ilejeKama kuna mtu anajua utaratibu wa kubadili kabila aje PM faster. This is too much. Kuna siku kabisa huwa naweka azimio kuwa leo sikomenti cho chote lakini nikiona Wasukuma wanashambuliwa roho inaniuma najikuta nishaingia kilingeni. Naomba nihamie hata kwa @Wanyakyusa, Wandali, Wazaramo, Wakinga hata kwa Nshomile. Niko siriazi [emoji16]
View attachment 1434716
Kisukuma, Mashemwji ndio wanafuata mahari sasa sikumaliza vipi na mliacha ndama tu kwenye zizi??Ni kweli nimeishiwa ila mahari hukumaliza ulitupiga chenga ukaanza kusema eti tuchukue bata na kuku badala ya ng'ombe. Umesahau?
Malizia mahari shemeji mambo yaishe familia yako itulie na kuwa na amani....
Wasukuma na sisi tumezidi dah [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1434736
Ku dislike post haiwezekani
😀😀😀 Kwenye niko naona ni saa 20:00Mkuu inawezekana yupo upande mwingine wa dunia ambapo saa hizi ndio kunakuchwa
HapanaBila shaka na wewe umrembo kama huyo?