Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1588177053283.jpeg
 
Kama kuna mtu anajua utaratibu wa kubadili kabila aje PM faster. This is too much. Kuna siku kabisa huwa naweka azimio kuwa leo sikomenti cho chote lakini nikiona Wasukuma wanashambuliwa roho inaniuma najikuta nishaingia kilingeni. Naomba nihamie hata kwa @Wanyakyusa, Wandali, Wazaramo, Wakinga hata kwa Nshomile. Niko siriazi [emoji16]
View attachment 1434716
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji baki huko huko, ukihama tutakosa mpambano wa nani mshamba zaidi (maana wote wanatuona washamba) kati ya Ngosha Ze Don (msuku...) na Mwakaleli (mnyaki...)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahhahahaha

[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kuna mtu anajua utaratibu wa kubadili kabila aje PM faster. This is too much. Kuna siku kabisa huwa naweka azimio kuwa leo sikomenti cho chote lakini nikiona Wasukuma wanashambuliwa roho inaniuma najikuta nishaingia kilingeni. Naomba nihamie hata kwa @Wanyakyusa, Wandali, Wazaramo, Wakinga hata kwa Nshomile. Niko siriazi [emoji16]
View attachment 1434716
 
Nimesikia leo Radio clouds wamama wa Kisukuma wanakata sindiria ndio wanatumia kama barakoa... Nimewapenda kwa ubunifu huo kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo naona hata kenya wababa wanafanya hivyo
Ila wamama wanalalamika maana wanateseka na kuna wanaume hawajawahi wanunulia bra
 
Back
Top Bottom