Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
For
HapanaNi wewe umeishona hii
Mjohoro ndio kila kitu, majani yake ya kichemshwa hutumika kumkanda mtu aliye vunjika au kuteguka. Ukifukizwa mchemsho wa majani na mizizi yake malaria baibai.Ukichemshiwa mizizi na magome yake hakuna cha henia wala homa za (amoeba/typhoid) matumbo vyote kwisha habari yake.Bro inabidi uende kiafrika zaidi, tafuta huko kifumbasi, majani ya mjohoro, majani ya mu40 na tangawizi, changanya jifukize
Achana na hao watu we jifanyie yako
Kitu yenye inavutia sanaHapana
Hiyo nimeikuta mahali nikaipenda
😂😂😂😂
Nilete ushahidi hapa?Kisukuma, Mashemwji ndio wanafuata mahari sasa sikumaliza vipi na mliacha ndama tu kwenye zizi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Alitudhulumu huyu Mpare. Hatakaa apumzike wala kuwa na amani kamwe mpaka amalizie. Ukoo wetu huwa hatudhulumiwi. Kama ameshindwa afanye kama alivyofanya mwenzie MwakaleliHivi huu ugomvi wa mahari bado haujaisha tu niq?[emoji23][emoji23]
Yaani huu ndo wakati wa kujishaua na hizi barakoa.
Mzee wa kufikiria nje ya boksi anakwambia tushone za kibishoo zaidi.
Nna mpango wa kushona hiiView attachment 1434726
Kwa Kiingereza mti huu unaitwaje?Mjohoro ndio kila kitu, majani yake ya kichemshwa hutumika kumkanda mtu aliye vunjika au kuteguka. Ukifukizwa mchemsho wa majani na mizizi yake malaria baibai.Ukichemshiwa mizizi na magome yake hakuna cha henia wala homa za (amoeba/typhoid) matumbo vyote kwisha habari yake.
Turudi asili yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifumbasi ni nini? Mjohoro je? Umepata kazi BAKITA ama? [emoji16][emoji16]