Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

carbamazepine bryson thomas anakuita huku[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1434552
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaniii mnaionea man u
Hahahahahhahahaaha.
Ndugu zake Shimba ya Buyenze

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeoa msukuma ujue[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha ndugu zake na bro Shimba ni hatari hawa
Kicheko chako kilimlenga SYB umesahau kuwa faraja yako ya nyumbani ni msuku...
Kwa upendo tu nikakuomba ugeuke nyuma umuone Babe S [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi kwako humu kuna team bro don haipendi huku anaipenda maana kutwa kuwakalia koon wasukuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo hawaja jua uzuri wa wasukuma mimi huni toi huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna mtu anajua utaratibu wa kubadili kabila aje PM faster. This is too much. Kuna siku kabisa huwa naweka azimio kuwa leo sikomenti cho chote lakini nikiona Wasukuma wanashambuliwa roho inaniuma najikuta nishaingia kilingeni. Naomba nihamie hata kwa @Wanyakyusa, Wandali, Wazaramo, Wakinga hata kwa Nshomile. Niko siriazi [emoji16]
1581529437593.jpg
 
Kama kuna mtu anajua utaratibu wa kubadili kabila aje PM faster. This is too much. Kuna siku kabisa huwa naweka azimio kuwa leo sikomenti cho chote lakini nikiona Wasukuma wanashambuliwa roho inaniuma najikuta nishaingia kilingeni. Naomba nihamie hata kwa @Zöe, Saint Anne, Khantwe hata kwa Nshomile. Niko siriazi [emoji16]
View attachment 1434716
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shemeji umeongea kwa uchungu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kuna mtu anajua utaratibu wa kubadili kabila aje PM faster. This is too much. Kuna siku kabisa huwa naweka azimio kuwa leo sikomenti cho chote lakini nikiona Wasukuma wanashambuliwa roho inaniuma najikuta nishaingia kilingeni. Naomba nihamie hata kwa @Wanyakyusa, Wandali, Wazaramo, Wakinga hata kwa Nshomile. Niko siriazi [emoji16]
View attachment 1434716
 
Kama huwezi kunywa angalau bilauri 4 za maji basi anza na moja kisha ongeza taratibu kadri mwili wako unavyomudu.
Kunywa maji bado ni changamoto sana kwangu. Ila sasa hivi najitahidi kila asubuhi ninaweka jagi la lita 2 mezani kabla ya kwenda kulala niwe nimeyamaliza. Ila nimejikuta siku nyingine naongeza hadi zinafika 3.
 
Back
Top Bottom