Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Esta akiingia mjengoni kitanuka. Siku akiamka vibaya hata Spika atakula za uso [emoji16][emoji16][emoji16]Numbisa kwa Niaba ya wana nyamagana nakuomba ugombee ubunge uwakilishe mawazo ya uzi huu.
Haiwezekani tuwe watazamaji kila siku.
Agombee tuanze kupiga kampeni za chini chini japo jimbo la Nyamagana ni gumu sana halitabiriki (Masha, Wenje....)