myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku unakua
Safiii
Duh!!! Hatima haijulikani
Kwani isikusikitishe mkuu, hayo ndiyo marndeleo ya mwanadamu.
Anza kuchukua hatua ya kuwekeza kwenye ardhi
😂😂😂 usiku wa pipi...hivi mkuu huwa unamaanisha nn hz kauli zako.Usiku wa kula muhogo....
Idadi ni ileile tu sijaona update mpya
Ila zingatia sana ushauri wa kitaalam
Vaa barakoa
Nawa mikono na maji tiririka na sabuni ama tumia sanitaiza
Ukiona dalili wahi hospitali.
Epuka safari zisizo na lazima.
#halisiopoa