carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Afadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Afadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah kwamba mie nimemfundisha Saint Anne naye akakufundisha wewe!??
Kaka yenu mbona mpole sana mnamsingizia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#umewezakunitesaleo
🏃♂️🏃♂️🏃♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#njoo
Ndoa za kisukuma zinaruhusu ndoa za mitaala(mke zaidi ya mmoja).Kwa kawaida wasukuma huoa kwa mahali ya ng'ombe kati ya 7 mpaka 20. Hii ni kawaida lakini mahari inaweza kuwa ng'ombe 25 mpaka 70 pale atakapokuwa anaozeshwa Binti mweupe.
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#hizitafitishuainisana
Ndoa za kisukuma zinaruhusu ndoa za mitaala(mke zaidi ya mmoja).Kwa kawaida wasukuma huoa kwa mahali ya ng'ombe kati ya 7 mpaka 20. Hii ni kawaida lakini mahari inaweza kuwa ng'ombe 25 mpaka 70 pale atakapokuwa anaozeshwa Binti mweupe.
Utasaidia kuniondoa kwenye ignore list?
1. NARCOSTaja ta3 bora zako
Hahahaha siku hizi wanga wanakuja wamevaa maskNimewaza mbali sana
#peposhindwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#shwaininiwewehapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha siku hizi wanga wanakuja wamevaa mask
Nchi tajiri zaidi Afrika kwa kigezo cha pato la taifa (GDP).
1. Afrika Ya Kusini- $649B.
2. Misri- $303B
3. Nigeria- $225B
4. Morocco- $114B
5. Kenya- $93B
6. Angola- $69B
7. Ghana- $59B
8. Ethiopia- $57B
9. Tanzania- $57B
Chanzo: MSN
Ni chache nimeangalia hadi mwisho zingine ni kupitia juu juuMkuu hizi muvi zote umeshaziangalia?
Uganda: Wakati juhudi za kupambana na virusi vya Corona zikiendelea Waziri Wa Afya ametaja mojawapo ya kikwazo ambacho kimebainika kwa baadhi ya watu waliowekwa karantini. Imebainika kuwa watu hao wameanza kufanya ngono hali inayohatarisha zaidi juhudi za serikali.
Itazame tu,inafurahisha na ni nzuri pia
Kila binadamu ana namna ya pekee jinsi ya kuzuia hasira zake Mpendwa unaweza sema siwezi ikafika siku ukajishangaa kipi kimekutokea.
Kama unalala wastani wa masaa 8 kwa siku, ukifikisha miaka 99 wastani utakuwa umetumia miaka 33 tu kwa kulala.