Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mawaziri tulionao wanawaza matumbo yao tu
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kwa nini nimejikuta nacheka
#najuaulichowaza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anapenda picha sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Yuko tayari aangue kilio kwa ajili ya picha tu aisee!!
Umemfundisha tabia mbaya sana mdogo wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa unafikiria ndogo, utapata kubwa zaidi ya hiyoNi ile ninayoifikiria au kuna ingine?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Malizeni basi haraka hii mada [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe cheka tu
#yaaninimbalisananilipowaza
Huku tuko wazima. Mimi ni wa kiambu town sio hizo side za Thika.Sawa mkuu nimekupta.
Uko Central province, pande za Thika huko.
Vema bro
Covid is real aiseeKuna jamaa nafahamiana nae juzi mzee wake alivuta na inasemekana ni Covid, sasa taarifa alizonipa kwenye simu zinatisha na kusikitisha....
Najitahidi sana kuzingatia kila kitu ili nibaki kuwa salama, wewe pia usisahau kuwa makini juu ya hili
Sijui nikuache ubaki na siri yako? 😀Acha kabisa.
Kuna taarifa nimepata hata 30mins hazijapita,yaani mambo siyo mambo.
Mungu atusaidie kwakweli.
😀😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imeisha tayari
Ai emu rede. Nifanye unavyotaka [emoji16][emoji16][emoji16]Utakuwa unafikiria ndogo, utapata kubwa zaidi ya hiyo
Hahah kwamba mie nimemfundisha Saint Anne naye akakufundisha wewe!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna bhana yule ndo kanifundisha tabia mbaya.
Halafu usijifanye umesahau kuwa wewe ndo kaka yetu.
Yaani kwa ubishi humfikii anne
Yaah! Sio poa bro
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#pepotokaaaa
Nina uhakika utajutiaAi emu rede. Nifanye unavyotaka [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui nikuache ubaki na siri yako? [emoji3]
#nakujakulekwenyelink