moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwa nini hii dawa isiletwe huku jamanii
🤔🤔View attachment 1434467
Hii dawa yao ni kweli hakuna hata mmoja 🤔
Habari bebi wake mtu
View attachment 1434469
Mwanamke wa Kisukuma akiwa na balakosa.
Chei maisha ni ujanja[emoji23][emoji23][emoji23] ila ma king ya turkish hatare yanatembea duara zima yaa linaiweza kula vidude nane kwa mpigo😂😂😂😂 kumbe nikajua ni mimi peke yangu
#Undo
Duh serikali imekamata kila kitu hadi mazishi
Nzuri tu, Mwenza akee😃Habari bebi wake mtu
😂😂😂watu wa Ruvuma oyee
Umeona eeh, yani ukiingia kule umakini uwe juu, na mimi siwezi 😂Chei maisha ni ujanja[emoji23][emoji23][emoji23] ila ma king ya turkish hatare yanatembea duara zima yaa linaiweza kula vidude nane kwa mpigo
Ni mwendo wa kujifukiza tu. Lazima matumizi ya umeme, mkaa na gas yapande kipindi hiki cha mduduKazi imeanza[emoji849][emoji849]