moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mungu ampumzishe kwa amani Movie zake nazikubali sana.Muigizaji mkongwe wa sinema wa Bollywood Irfan Khan amefariki Dunia jana 29.4.2020.View attachment 1435467
Sjui kwann stars wengi india wana cancerWaigizaji wawili marafiki wa Bollywood Irfan Khan na Rish Kapoor wamefariki kwa kupishana siku moja.
Khan amefariki April 29 2020, Kapoor amefariki April 30 3020.
Mwenyezi Mungu wahifadhi mahali panapostahili.
Aami [emoji120][emoji120]View attachment 1435479
Inna lillah wainna ilaihyi rajiunInna lillah wainna ilaihyi rajiun.
Tangulia sheikh wetu.
Mwenyezi Mungu akupe makazi mema peponi[emoji120][emoji120]View attachment 1435470
Huyu Ranbir ndiye aliyemuoa Muigizaji RabiaSjui kwann stars wengi india wana cancer
R.I.P babaake Ranbir
Wewe kweli unadhani ni watu?[emoji16][emoji16][emoji16] hili kibonzo chako huwa kinanichekesha sana. Eti wasukuma sio watu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni watu tena wazuri sanaWewe kweli unadhani ni watu?