Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hapana Ranbir kapoor anampenzi anaitwa Alia bhatt naskia wataoana decemberHuyu Ranbir ndiye aliyemuoa Muigizaji Rabia
Ni huyo Alia bhatt nijuavyo wameshaoana baada ya Ranbir kuachana na Depika.Hapana Ranbir kapoor anampenzi anaitwa Alia bhatt naskia wataoana december
Labda aina ya vyakula wanavyotumia..Sjui kwann stars wengi india wana cancer
R.I.P babaake Ranbir
Mambo sio mazuri
Bado ni wapenzi ndoa labda december mwaka huu wanasemaNi huyo Alia bhatt nijuavyo wameshaoana baada ya Ranbir kuachana na Depika.
Muigizaji mkongwe wa sinema wa Bollywood Irfan Khan amefariki Dunia jana 29.4.2020.View attachment 1435467
Wameoana mpendwa huwa napenda kuangalia Bollywood siku ya harusi yao walirusha kipindi maalum kuonyesha harusi.Bado ni wapenzi ndoa labda december mwaka huu wanasema
Deepika sindo aliolewa na ranvir singh same year na priyanka eeh?!