MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Young JeffMatt au Jeff ??
Young JeffMatt au Jeff ??
Matt au Jeff ??
😁😁😁 hili kibonzo chako huwa kinanichekesha sana. Eti wasukuma sio watu 😂😂😂Kama kuna mtu anajua utaratibu wa kubadili kabila aje PM faster. This is too much. Kuna siku kabisa huwa naweka azimio kuwa leo sikomenti cho chote lakini nikiona Wasukuma wanashambuliwa roho inaniuma najikuta nishaingia kilingeni. Naomba nihamie hata kwa @Wanyakyusa, Wandali, Wazaramo, Wakinga hata kwa Nshomile. Niko siriazi [emoji16]
View attachment 1434716
Utukufu wa Mungu rangi nzuri mno sio oil
Waaleykum msalam
Asante