Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Husababisha kukutana kimwili kusiko salama.
Kuna faida zake pia.Licha ya kuwepo kwa kampeni kadha wa kadha zinazopinga matumizi ya pombe, bado watu wengi wameendelea kushikilia kinywaji hiki bila kufahamu athari zake kwenye afya zao. Fuatilia hapa chini athari 12 za pombe kiafya.
Kuna wanaamini ati mtu anatakiwa akunyue kiwango fulani cha pombe wakati anaumwa na tumbo, sasa juu yule mtu anaamini hivo unaweza mpea usauri gani.Usauri wangu kwako ni kuwa hakuna mtu aliyewahi kufa kutokana na kuacha kutumia pombe. Hivyo jenga mwili wako kwa lishe bora ili uwe mwenye tija zaidi.
Mr Anderson......View attachment 1435033[emoji41][emoji41][emoji41][emoji91][emoji91][emoji91]
Batsy, Batsy, Batsy......!
Pombe sio tiba kwa magonjwa yoyote. Wapo waliokua wanajidanganya ni tiba yacorona kumbe sioKuna wanaamini ati mtu anatakiwa akunyue kiwango fulani cha pombe wakati anaumwa na tumbo, sasa juu yule mtu anaamini hivo unaweza mpea usauri gani.
[emoji818][emoji818]Mjohoro ni jamii ya mkenge, pia huitwa mbiriti View attachment 1434959
SawasawaKivumbasi ni hicho hapo.
Mjohoro na kivumbasi yanatumika kwenye tiba za kiafrika.
Matumizi yake hasa ni kama panadol Hizi ni aina mbili tofauti za kivumbasiView attachment 1434960View attachment 1434961