Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
😀😀😀😀 eti Bibi... Bibi anazingua hataki kuambiwa ukweliBibi yenu anajisifu mmemshindwa[emoji119][emoji38]
😀😀😀😀 eti Bibi... Bibi anazingua hataki kuambiwa ukweliBibi yenu anajisifu mmemshindwa[emoji119][emoji38]
Bibi unamwambia kingine anakujibu kingine chini anatag njemba sjui watu wamuogope[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] eti Bibi... Bibi anazingua hataki kuambiwa ukweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kumbe na wewe ni mchokozi vile!!
Wale watu hutupima ukimwi na macho ,Si watupime hii Covid-19 Haraka Haraka tumalize hii story ..
Watu wajuliane haliNdugu zangu hali siyo njema sana mitaani huku, vyema tupeane taarifa juu ya kile kinachoendelea
Freshi kabisaHamjambo wana uzi
Freshi kabisaHamjambo wana uzi
Huku kwetu nasikia kuna ugonjwa wa changamoto ya upumuaji...ni shidaMkuu upo, habari za kwenu huko
👍👍👍👍👍My fav movie of all time
Anatag watu wenyewe hawaji hata kulike tu, me kila nikiondoka kwenye Uzi wake nakuta notification kashanitag....nikamwambia kifuatacho nitakuja nikupige ndiyo naona sahivi kimya hata notification hamna 😂 anaonekana ni mswahili sana yule dada afu ndiyo anajikuta campany yake ni ya wanaume mimi nakataa.Bibi unamwambia kingine anakujibu kingine chini anatag njemba sjui watu wamuogope
AiseeKorona itashindwa.
View attachment 1435711
Likes hiyooooKorona itashindwaaa [emoji351][emoji351][emoji351]
View attachment 1435727
AiAisee
NmemwambiaAnatag watu wenyewe hawaji hata kulike tu, me kila nikiondoka kwenye Uzi wake nakuta notification kashanitag....nikamwambia kifuatacho nitakuja nikupige ndiyo naona sahivi kimya hata notification hamna [emoji23] anaonekana ni mswahili sana yule dada afu ndiyo anajikuta campany yake ni ya wanaume mimi nakataa.
Girls wenye campany na wanaume hawako local vile.