Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anatag watu wenyewe hawaji hata kulike tu, me kila nikiondoka kwenye Uzi wake nakuta notification kashanitag....nikamwambia kifuatacho nitakuja nikupige ndiyo naona sahivi kimya hata notification hamna 😂 anaonekana ni mswahili sana yule dada afu ndiyo anajikuta campany yake ni ya wanaume mimi nakataa.
Girls wenye campany na wanaume hawako local vile.

😁😀😀

Hahaha... kifuatacho utakuja umpige... hahaha...

Wakati unajiandaa kumpiga ule muda mnarushiana maneno kwanza naomba niwe nyuma yako nimekushikilia usiende kupigana...

Alafu wewe unapaza sauti kabisa, niacheni nimnyoshe huku unarusha rusha migumu...

😁😀😁😀



Cc: mahondaw
 
IMG_20200430_170129.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom