sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,744
- 4,354
Nipo saa hii
😂😂😂😂 nimecreate na picha kabisa😁😀😀
Hahaha... kifuatacho utakuja umpige... hahaha...
Wakati unajiandaa kumpiga ule muda mnarushiana maneno kwanza naomba niwe nyuma yako nimekushikilia usiende kupigana...
Alafu wewe unapaza sauti kabisa, niacheni nimnyoshe huku unarusha rusha migumu...
😁😀😁😀
Cc: mahondaw
😀😀😀🏃🏃Nimesubiri kikongwe apasuliwe naona kimya ila nimekukubali mpendwa una mikwara😁😁😁
Ngoja nikamalizie kusoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anatag watu wenyewe hawaji hata kulike tu, me kila nikiondoka kwenye Uzi wake nakuta notification kashanitag....nikamwambia kifuatacho nitakuja nikupige ndiyo naona sahivi kimya hata notification hamna [emoji23] anaonekana ni mswahili sana yule dada afu ndiyo anajikuta campany yake ni ya wanaume mimi nakataa.
Girls wenye campany na wanaume hawako local vile.
Ngoja nikamalizie kusoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujue mnanichekesha kule
Oooh sawa..Subiri tumalize ibada ya kufunga