Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bibi unamwambia kingine anakujibu kingine chini anatag njemba sjui watu wamuogope
Anatag watu wenyewe hawaji hata kulike tu, me kila nikiondoka kwenye Uzi wake nakuta notification kashanitag....nikamwambia kifuatacho nitakuja nikupige ndiyo naona sahivi kimya hata notification hamna πŸ˜‚ anaonekana ni mswahili sana yule dada afu ndiyo anajikuta campany yake ni ya wanaume mimi nakataa.
Girls wenye campany na wanaume hawako local vile.
 
Nmemwambia
Naona ana uzi mpya hahatag watu[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…