Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

samaki aitwaye goldfish ana uwezo wa kuona mionzi ya infrared na violent rays ( ina maana ukiwa unatuma wimbo kwa simu kwa infrared ye anaona mionzi inavyosafiri na jua likiwaka sana kama ozone imeharibiwa kiasi mionzi ya violent rays inafika kuotka kwenye jua samaki goldfish anaiona.
 
bajeti ya wizara moja tu ya ulinzi ya marekani kwa mwaka 2018 ilikuwa ni dola bilioni 734 sawa na Tsh tilioni 1676 hiyo kwa bajeti yetu ya tilioni 30 kwa mwaka inaweza kuwa bajeti ya nchi yetu kwa wizara zote na sekta zote kwa miaka 52
 
ndege wote wanahitaji gravity aunguvu ya mvuto kutoka katikati ya dunia ilikuweza kumeza kinywaji chochote wanachokunywa kama maji ,juice nk. ndio maana lazima akinywa ainue kichwa juu maji yashuke yenyewe kwa gravity kumeza hawezi
 
katika maongezi na watumishi wa parokia papa aliemaliza muda wake wa ukuu papa francis alisema kwamba katika maisha yake kuna wakati alishawahi kufanya kazi kama baunsa wa bar ili apate fedha ya kulipia masomo
 
katika maongezi na watumishi wa parokia papa aliemaliza muda wake wa ukuu papa francis alisema kwamba katika maisha yake kuna wakati alishawahi kufanya kazi kama baunsa wa bar ili apate fedha ya kulipia masomo
 
uchumi wa mji mmoja wa china kama Beijing,shenzhen,hongknong au shanghai unni mkubwa kuliko Africa masharika yote kujumlisha na sadc ukiondoa afrika ya kusini pekee( Tz,Kenya ,Uganda, Rwanda,burundi,Zambia,congo,Malawi,msumbiji,Botswana,Lesotho,swtzland,angola,Namibia, sudani kusini,Somalia, komoro na madagaska.
 
ndege aina ya humming ndio ndege pekee duniani mwenye uwezo wa kuruka kinyumemnyume yani akiwa ametanguliza mkia mbele na moyo wake hudunda mara 1000 kwa dakika wakati binadamu moyo hudunda mara 70 kwa dakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…