Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Straika huyo wa kimataifa kutoka Gabon, mkataba wake unatarajia kumalizika Juni, 2021, mpaka sasa amegoma kuongeza mkataba mpya licha ya mabosi wa Arsenal kukaa nae mezani kwa ajili ya mazungumzo, mchezaji huyo hakuonesha dalili zozote za kuongeza mkataba mpya.
 
Anatag watu wenyewe hawaji hata kulike tu, me kila nikiondoka kwenye Uzi wake nakuta notification kashanitag....nikamwambia kifuatacho nitakuja nikupige ndiyo naona sahivi kimya hata notification hamna [emoji23] anaonekana ni mswahili sana yule dada afu ndiyo anajikuta campany yake ni ya wanaume mimi nakataa.
Girls wenye campany na wanaume hawako local vile.
Uzi gani huo ??
 
400008800552_125542.jpg
 
Anatag watu wenyewe hawaji hata kulike tu, me kila nikiondoka kwenye Uzi wake nakuta notification kashanitag....nikamwambia kifuatacho nitakuja nikupige ndiyo naona sahivi kimya hata notification hamna 😂 anaonekana ni mswahili sana yule dada afu ndiyo anajikuta campany yake ni ya wanaume mimi nakataa.
Girls wenye campany na wanaume hawako local vile.
Wakishua nilikuona ulivyokua unashambulia cheiiii hahahaha
 
Back
Top Bottom