Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wawajaribu black American huko!!Dawa ya rais wa Madagascar kwa nini hatujaijaribu?
Wazungu wanapambana usiku na mchana tusubirini wagundue chanjo. Shida wakitaka kuja kutufanyia majaribio ili waone kama chanjo hiyo inatufaa hata sisi tunapiga makelele kuwa tunageuzwa guinea pigs. Sisi ni shida kwa kweli !!!
View attachment 1436595
Sipend wafuga ras [emoji23][emoji23][emoji23]We umeona katoto peke yake? Baba wa kenyewe hujamuona? [emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa kama huko lockdown imewashinda nguvu huku ingekuwaje jamani. Ila naona huku lockdown itakuja automatic kwa wabongo wabishi kujizuia wenyewe majumbani mwao.Huku salama. Lockdown imeisha leo japo ni phase 1 lakini sasa tunaweza kutoka nje japo kwa tahadhari sana. Baadhi ya maduka yameanza kufunguliwa japo baa, mahoteli, salons na vitu vingi bado. Ni kama vile wanatesti zali kuona itakuwaje. Na tahadhari zingine ziko pale pale. Huko naona moto ndo kwanza unafukuta. Mungu Atusaidie aisee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wawajaribu black American huko!!
Sisi tunazitaka ila hata hvyo lazima zichelewe mpaka January tutakuwa tumeathirika kiasi gani!!!??!
Hii ni changamoto kubwa tu muhimu kujilinda tu mana option hazizidi mbili either tusubiri chanjo huku tukifanya tahadhari ambazo kimsingi tumechelewa kuzifanya 2:Tusubirie herd immunity ambayo ni survive to the fittest ituamulie maisha yetu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashallah [emoji91][emoji91][emoji91]
Uchumi umeanguka na wanaogopa total collapse. Pamoja na kutoa pesa za kujikimu, kugawa vyakula, mabenki na watoa huduma kuahirisha malipo ya mikopo bado hali haijawa nzuri. Ndiyo maana wameamua lockdown iishe tu japo watu bado wanakufa kama kawaida.Sasa kama huko lockdown imewashinda nguvu huku ingekuwaje jamani. Ila naona huku lockdown itakuja automatic kwa wabongo wabishi kujizuia wenyewe majumbani mwao.
Daraja la chini tunajionea huruma ila pia kwa viongozi ni matumbo joto hatari