Kipenseli
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 883
- 1,157
Na wenyewe wenye maarifa wanasema kujifukiza kunasaidia dalili tu lakini hakuui vidudu vyenyewe. Labda ni kwa vile hawajafanya utafiti wao....Hatuna zaidi kujifukiza
Mkuu unaongelea nini? Sisi si hata kufanyiwa majaribio hatutaki tunasema ni ubaguzi? Tuwaache jamaa wahangaike. Hata hiyo January hiyo chanjo ikithibitishwa bado kuna kujenga lab zenye capacity ya kutosha kuizalisha kwa wingi na mifumo ya usambazaji. Kutokana na demand itakavyokuwa kubwa mpaka ikatufikie sisi huku itakuwa mwishoni mwa 2021. Hii ngoma bado mbichi kabisa....
Ujinga mwingine bana....
Kwani ulikuwa unatafuta mpishi au mke?
Funga iendelee tu hata mpaka Desemba. Umemuona Ostazi alivyobadilika lakini? Sasa hivi hata ukimuomba picha unapewa fasta siyo kama mwezi Machi unalilia picha mpaka unagaragara [emoji16][emoji16][emoji16]
Atazikwa na watu wasiozidi 10 ama?
The don himselfSYB na mkongojo wake. Esta upo? Poti ulisema utajibanza mahali kushuhudia [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1435716
Yes. The one and only one. Hujambo huko uliko? Jikinge na Korona kwa bidii zote aisee...The don himself
Huku sijambo. Najitahidi sana. Gonjwa linatisha hili japo sipendi lockdown. Huko ulipo mzima?Yes. The one and only one. Hujambo huko uliko? Jikinge na Korona kwa bidii zote aisee...
Huku salama. Lockdown imeisha leo japo ni phase 1 lakini sasa tunaweza kutoka nje japo kwa tahadhari sana. Baadhi ya maduka yameanza kufunguliwa japo baa, mahoteli, salons na vitu vingi bado. Ni kama vile wanatesti zali kuona itakuwaje. Na tahadhari zingine ziko pale pale. Huko naona moto ndo kwanza unafukuta. Mungu Atusaidie aisee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Huku sijambo. Najitahidi sana. Gonjwa linatisha hili japo sipendi lockdown. Huko ulipo mzima?
We umeona katoto peke yake? Baba wa kenyewe hujamuona? [emoji16][emoji16][emoji16]Katoto kazuri