Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images (11).jpeg

Cc: mahondaw
 
Hii comment nimeikuta Facebook huenda ikaelezea vifo vya wakubwa hawa

Ninachokijua kuwa wakubwa hawa wana maradhi yao na walikuwa wanaenda kutibiwa nje regularly. Kutokana na hili janga safari hazipo sasa kinachotokea hawahudhurii matibabu yao huko nje na madawa walishamaliza sasa wanakufa. Bas tunaona wote wanaokufa kipindi hichi wana korona no wengine wanaokufa wana uwezo wa kukaa ndani zaidi ya miezi 6 ndo ujue ni nini kinawaua jiulize. Hii corona imeleta impact kubwa sana sio yenyewe kuua ila kusababisha matibabu mengine kusimama.
 
Tunajitahidi kutokukata tamaa ila hali inavyoendelea ndio inakatisha tamaa.

Tutakaa muda gani bila dawa wala chanjo!??inasikitisha sana mungu atusaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya rais wa Madagascar kwa nini hatujaijaribu?

Wazungu wanapambana usiku na mchana tusubirini wagundue chanjo. Shida wakitaka kuja kutufanyia majaribio ili waone kama chanjo hiyo inatufaa hata sisi tunapiga makelele kuwa tunageuzwa guinea pigs. Sisi ni shida kwa kweli !!!

20200501_093307.jpg
 
View attachment 1436595

Mpaka January... wasambaze faster kabla ya uchaguzi wetu October...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom