Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aisee....
Hii ata wewe mpendwa inatokea lazima uchungulie
Sijambo Moudy, sisi huku wazima kabisa.
Nimeona video za mazishi ya usiku hatariUchumi umeanguka na wanaogopa total collapse. Pamoja na kutoa pesa za kujikimu, kugawa vyakula, mabenki na watoa huduma kuahirisha malipo ya mikopo bado hali haijawa nzuri. Ndiyo maana wameamua lockdown iishe tu japo watu bado wanakufa kama kawaida.
Vifo vya viongozi ndivyo vinatangazwa, vipi kwa watu wa kawaida? Nimemsikia Mh. Msigwa akilalamika kuwa eti watu wanazikwa usiku usiku bila hata ndugu zao kujua. Mungu Aingilie kati aisee ...
View attachment 1436633
Nimekusoma ila Sisi Africa tunaweza kufanya Qualitative Sampling method kwa watu na ikafanya kazi vizuri tu...Black Americans wapo katika mazingira tofauti. Muhimu sana kufanya parallel testing kwa kila category ya population. Ikitokea chanjo ikaletwa na hamjafanyiwa majaribio ikashindwa kufanya kazi vizuri napo mtalia ubaguzi mmeletewa chanjo mbaya ili muendelee kufa.
Herd immunity sawa lakini wengi sana wataondoka. Halafu ajabu ni kwamba hata waliougua wakapona bado wanaambukizwa tena kitu ambacho si cha kawaida. Na bado hawajajua kwa nini hili linatokea.