moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ngoja nijaribu nione. Nitaleta mrejesho [emoji16][emoji16][emoji16]
Mungu atupe usiku mwema
Ameen
Natafuta kujua tupo wangapi?
Inasaidia mpendwa naelewa kwamba kuna mke mwenza ananisaidia majukumu.
Inasaidia mpendwa naelewa kwamba kuna mke mwenza ananisaidia majukumu.
Shemeji mimi sijambo kabisa namshukuru Mungu,ni vile nimebanwa kiasi.Carbamazepine hujambo huko uliko? Usiwe unapotea sana aisee. Tunakuombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
πππKushea ziwezi napenda nifaidi peke yangu[emoji23][emoji23]uoga huo mpendwa
Leo hii!???Cake,anyone?[emoji39][emoji39]View attachment 1436722
Ndio