Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1588351606968.jpeg
 
Shemeji mimi sijambo kabisa namshukuru Mungu,ni vile nimebanwa kiasi.

Habari ya huko uliko?mnaendeleaje na lockdown?

#thanksforcaring[emoji120][emoji120]
#blessings
ASANTE shemeji. Nafurahi kukusikia.

Huku wanatest zali naona. Tumeachiliwa leo japo kwa hatihati. Tumshukuru Mungu kwa kila kitu shem na Tuombe ulinzi wake daima [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom