Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hakuna kama mama [emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536]View attachment 1436744
[emoji120][emoji120]
Hakuna kama mama [emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536]View attachment 1436744
[emoji120][emoji120]
Nitafaidi ila si kwa kiwango ambacho nitahitaji.
Naona hata ndassa wamemzika kwao wakubwa wanafaidi upendeleoKwa hivyo huyu siyo Korona naona....
Apumzike salama mwanadiplomasia wetu. Alikuwa ni mmoja wa Watanzania wachache wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja kimantiki na kifalsafa sana levo moja na akina Nyerere huko...
Labda wamekufa vifo vya kawaida tu. Akina Rwakatare mbona nao wakubwa lakini walizikwa na watu chini ya 10? Natumaini wanapima na kujiridhisha kwanza...God help us please [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Naona hata ndassa wamemzika kwao wakubwa wanafaidi upendeleo
Amina shem[emoji120][emoji120][emoji120]ASANTE shemeji. Nafurahi kukusikia.
Huku wanatest zali naona. Tumeachiliwa leo japo kwa hatihati. Tumshukuru Mungu kwa kila kitu shem na Tuombe ulinzi wake daima [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Safi japo watakosa posho lakini maisha ni bora kuliko posho. Covid 19 yupo mjengoni aisee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]