Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

a042d643-b587-42c8-8e19-bd23118e3660.jpg
 
aiseee Yaani ni upuuzi gani unafanyika kwenye thread hii Yaani ni kupeana tu malikes

naomba na Mimi mnipee niwezane nanyi.
 
SHINIKIZO LA DAMU

Boga lina kiwango kikubwa cha Potassium ambayo husaidia kupunguza Kiwango cha Madini ya sodium mwilini ambayo hupelekea kuongezeka kwa shinikizo la damu(high blood pressure) Kwa hiyo boga ni mojawapo ya vyakula muhimu kwa mtu mwenye presha ya kupanda
 
Back
Top Bottom