Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,495
Kwahio mlikuwa mnaficha nini wakati tulikuwa tunajua, da kweli hatari hii serikali yetu
Kwahio mlikuwa mnaficha nini wakati tulikuwa tunajua, da kweli hatari hii serikali yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1437098
Vp hali zenu ndugu zangu.
Nawatakia mapumziko mema ambao mko lockdown mimi bado naendelea kutafuta chakula cha kukaa nami huko lockdown
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyetengeneza corona abebeshwe gharama zote ambazo watu wa mataifa wamezibeba ikiwemo fidia za vifo
Sent using Jamii Forums mobile app