Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye App unamuona kama ignored japo huwezi kuona jina lake wala post zake. Ila ukibofya hapo kwenye ignored unaweza kuona post zake ukalaiki na hata kumkwoti...na kama ulishawahi kuwasiliana naye bado anaweza kukuPM kama kawaida...
Huku humuoni ila utaona ignored content sasa mpaka uifate uangalie kilichomo si bora tu umtoe ignore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…