Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tajiri mkubwa kwenye eneo hilo.
Amezaliwa huko, amesomea huko.
Huwa anaomba kura kwa kisukuma huyo jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu na libunge langu Joka Makengeza wana pesa ndefu sana hakuna wa kuwatoa kwenye ubunge mpaka wachoke wenyewe tu. Labda hii skendo itamwondoa huyu mwamba...Siasa ni mchezo mchafu sana !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…