Wali ndondo😋😋Sometimes. ......[emoji2][emoji2][emoji2][emoji12]
Cc Smart911 View attachment 1443716
Sent using Jamii Forums mobile app
Pilau na kachumbari sikuangalia vizuri mpendwanimeona pilau...una usingizi au nina usingizi?
ukipika ndizi mbivu tafadhali niletee mualikoPilau na kachumbari sijakuangalia vizuri mpendwa
[emoji2][emoji2][emoji2] jamaa ni kama aliingia cha kike hvSana [emoji3][emoji3][emoji3]
Jamaa kaelezea vizuri kisa chake.Anadai alifunga kitasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa sawa bro.. Mambo niaje pande hizo? Familia iko shwari?Ahsante mzee mwenzake.Mimi nasubiria daku bana.
Ngoja nikufanyie mpango, uzipitie pale geti la chiniSana
InShaAllah mpendwa karibu kesho tujumuike ndugu🙏🙏ukipika ndizi mbivu tafadhali niletee mualiko
kesho tena......naogopa corona.......mwezi 25 inshallah nitakuja kwa ungoInShaAllah mpendwa karibu kesho tujumuike ndugu🙏🙏
Hahah unazingua mzee mwenzangu.. Hili draft lako kabsaZaidi ya mchele vs beans, sijaambulia kingine chochote hapo mzee
Ahsante
Fukizo lipo ukaribie acha uoga.kesho tena......naogopa corona.......mwezi 25 inshallah nitakuja kwa ungo